MCHEZO wa Yanga SC dhidi ya Azam FC ambao utachezwa Jumatatu Oktoba 23, 2023 sasa rasmi utapigwa uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa Jumapili uwanja wa Azam Complex, kabla ya kutangazwa mabadiliko hayo, ambapo taarifa ya Yanga imeeleza mchezo huo umehamishiwa uwanjani hapo
Comments are closed.