Yanga gari limewaka huko!

DAR ES SALAAM; Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Tanzania Prisons unaendelea Uwanja wa KMC, Kindondoni Dar es Salaam na sasa ni mapumziko, Yanga ikiwa mbele kwa mabao 3-0, wafungaji ni Clement Mzize, Ibrahim Abdullah na Prince Dube. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Yanga).

Advertisement