Yanga ni kama maji haikwepeki

Spika wa Bunge aipa tano

DODOMA: SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameipongeza klabu ya Yanga kwa ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Simba.
Pongezi hizo amezitoa leo bungeni, jijini Dodoma katika Mkutano wa 13, Kikao cha sita cha Bunge.
“Tunawapongeza Yanga kwa mpira mzuri waliocheza jana,” amesema Dk. Tulia
Hata hivyo, pongezi hizi za Dk. Tulia zimechagizwa zaidi na ishara za wabunge kumpungia Spika mkono.
“Waheshimiwa wabunge nilikuwa natafakari hapa, kumbe napungiwa mkono kuenesha kwamba jana Yanga wamefunga magoli matano.” Amesema Dk. Tulia

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
14 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
14
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x