Yanga, NIC waingia mkataba mchezaji bora wa klabu

YANGA SC wameingia mkataba wa miaka mitatu na Shirika la Bima la Taifa (NIC) wenye thamani ya Sh milioni 900 kwa ajili ya tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa timu hiyo.

Rais wa klabu ya Yanga, Hersi Said amesema Yanga itahakikisha mkataba huo utapewa thamani sahihi na kile kilichowekezwa na NIC.

“Mkataba huu utakuwa unalenga moja kwa moja kwa mchezaji bora wa mwezi, tunakuhakikishia mkataba huu utatoa thamani sahihi ya kile kilichowekezwa kwetu.” Amesema Hersi.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA

Capture.JPG
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA…

Capture1.JPG
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA/

Capture.JPG
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA?/

Capture1.JPG
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x