Year: 2025

Chaguzi

Watakiwa kutumia mitandao kwa busara

MWENYEKITI wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti, amewataka baadhi ya viongozi na wanasiasa kuwa waangalifu katika…

Soma Zaidi »
Kanda

Bandari Mtwara yapokea mafuta kwenda nchi jirani

BANDARI ya Mtwara imeanza kupokea meli zenye mzigo wa mafuta ambayo husafirishwa kwenda Zambia, Malawi na Burundi. Meneja wa Bandari…

Soma Zaidi »
Jamii

Mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya mama wa kambo

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mkazi wa Masoko wilyani Rungwe, Tatizo Mzumbwe kwa tuhuma za mauaji ya mama…

Soma Zaidi »
Featured

Wapigakura Uchaguzi Mkuu juu 26.5%

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza idadi ya wapigakura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu imeongezeka kwa asilimia…

Soma Zaidi »
Featured

Samia ataja ajenda tatu kuongoza nchi

MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametaja ajenda tatu za chama hicho…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania yaandikisha wanachama wengi bima ya afya

TANZANIA, Kenya na Rwanda ni miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizoandikisha wanachama wengi kupata huduma…

Soma Zaidi »
Kanda

TANAPA yajizatiti kuongeza mazalia ya samaki Ziwa Victoria

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeweka mpango maalum kufanikisha ongezeko la mazalia ya samaki ndani ya Ziwa Victoria kiwango…

Soma Zaidi »
Tanzania

TTCL yajizatiti teknolojia ya kisasa

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema linaendelea kuwekeza katika teknolojia za kisasa na kuboresha mifumo yao kwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Elimu usalama barabarani kwa wanafunzi Shinyanga

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ushirika, iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga, wamepatiwa elimu ya usalama barabarani ili kuepuka…

Soma Zaidi »
Featured

Jamii iunge mkono mikakati kuwalinda watoto nchini

SHERIA ya Mtoto ya Mwaka 2009 na marekebisho yake pamoja na Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977 vinaeleza mtoto ni…

Soma Zaidi »
Back to top button