Year: 2025

Michezo na Burudani

Geay atakiwa kuibeba Tanzania riadha Berlin

UJERUMANI: BALOZI wa Tanzania, nchini Ujerumani, Hassan Mwamweta amemtaka mwanariadha, Gabriel Geay na wenzake kuiwakilisha vyema Tanzania katika mashindano ya BMW…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi wapatiwa bima ya afya ya jubilee bure

ARUSHA: WANAFUNZI mkoani Arusha wamehakikishiwa huduma za matibabu baada ya kupatiwa Bima ya afya bure na Kampuni ya Jubilee Health…

Soma Zaidi »
Tanzania

TAWA yapunguza utegemezi serikalini

MOROGORO: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA),imepiga hatua za kimaendeleo na kuiwezesha kupunguza utegemezi kwa serikali kwa asilimia 80…

Soma Zaidi »
Mafuta

Wananchi watakiwa kuwapokea wawekezaji

KIGOMA: KIONGOZI wa Mbio za mwenge wa Uhuru, Ismail Ussi amewataka wananchi kuwapa ushirikiano wawekezaji wanaotekeleza miradi katika maeneo yao…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Uboreshaji miundombinu ya shule ni ajenda ya Rais”

KIGOMA: KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ismail Ussi, amesema uboreshaji wa miundombinu ya shule za msingi na sekondari…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bosi Tanroads akagua miundombinu BRT Ubungo- Kimara

DAR ES SALAAM: Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, leo amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika…

Soma Zaidi »
Featured

NEMC yaadhimisha siku ya usafi duniani hospitali Mwananyamala

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika kuadhimisha Siku ya Usafi Duniani loe Septemba 20, 2025…

Soma Zaidi »
Tanzania

Polisi Mtwara: Wanahabari mko salama uchaguzi

MTWARA: JESHI la Polisi mkoani Mtwara limewahakikishia usalama na amani waandishi wa habari mkoani humo wakati wote wanapotekeleza majukumu yao.…

Soma Zaidi »
Featured

ALPHONCE SIMBU: Avunja mwiko wa miaka 39 bila dhahabu

BAADHI ya vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali ya Tanzania tangu mwanzoni mwa wiki vimesomeka hivi; ‘Simbu aweka rekodi mpya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Dk Samia kuitikisa Pemba kampeni leo

PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kutikisa kisiwa cha Pemba katika mwendelezo wa…

Soma Zaidi »
Back to top button