Year: 2025

Chaguzi

Masoud afanya kampeni soko la darajani

UNGUJA, Zanzibar: MGOMBEA Urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, Sept 20, 2025 amefanya matembezi katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

SPOWDI yakubali kuwekeza Tanzania

STOCKHOLM, Sweden : BALOZI wa Tanzania katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine,Mobhare Matinyi, tarehe 18 Septemba, 2025, alikutana na…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Ujenzi kiwanda cha meli uharakishwe -Zitto

KIGOMA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ujenzi wa cherezo (kiwanda)…

Soma Zaidi »
Chaguzi

“Nitaondoka michango isiyo na tija shuleni”

DAR ES SALAAM: MGOMBEA Udiwani Kata ya Zingiziwa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Selemani Kaniki ameahidi kufuatilia kikamilifu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Vita ya Gyokeres na Haaland pale Emirates

ENGLAND: Ni vita ya washambuliaji wawili tishio, Viktor Gyokeres wa Arsenal na Erling Haaland wa Manchester City, ambapo leo watakutana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Chifu Mbwiyamundu ajiandaa kupiga kura

MBINGA, Ruvuma: MTAWALA wa Himaya ya Wamatengo, Joan Ngapomba maarufu kama Chifu Mbwiyamundu, amesema yupo tayari kushiriki kupiga kura na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wadau wa mazingira wafanya usafi Mwanza

MWANZA: Wadau wa mazingira wamefanya usafi katikati ya jiji la Mwanza na kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa…

Soma Zaidi »
Infographics

Mashindano ya uchoraji yaibua vipaji shuleni

DAR ES SALAAM: WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema mashindano ya kazi za sanaa ya uchoraji yaliyoandaliwa kwa wanafunzi…

Soma Zaidi »
Tanzania

MV Butiama Hapa Kazi yaanza safari Ukerewe

MWANZA: MELI ya MV Butiama Hapa Kazi imeanza safari zake upya leo Septemba 20, 2025 kutoka Mwanza kwenda Wilaya ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wajasiriamali 1,142 wasajiliwa Geita

GEITA: MKOA wa Geita umefanikiwa kusajili jumla ya wajasiriamali 1,142 katika mfumo wa urasimishaji kwa ajili ya utoaji wa vitambulisho…

Soma Zaidi »
Back to top button