Year: 2025

Featured

Bandari yachangia 40% Pato la Taifa

WIZARA ya Uchukuzi imesema sekta ya usafirishaji kupitia bandari inachangia asilimia 40 ya mapato ya nchi. Pia, imesema serikali ina…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jeshi la polisi Tanga lakabidhiwa magari

TANGA: Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk Batilda Buriani amekabidhi magari tisa kwa jeshi la polisi mkoani hapa ambayo…

Soma Zaidi »
Africa

Ripoti yataka hatua za kisera kukabili changamoto za kujifunza

EMBU, KENYA: Ripoti mpya ya elimu imependekeza kuchukuliwa hatua za haraka na madhubuti za kisera zinazotokana na utafiti ili kukabiliana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wezi wa pembejeo wanaswa Mtwara

MTWARA: JESHI la Polisi mkoani Mtwara linawashikilia watuhumiwa 13 kwa tuhuma za kujihusisha na wizi wa pembejeo za korosho za…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Chaumma yaahidi mambo matano siku 100 Ikulu

CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema wananchi wakikichagua ndani ya siku 100 serikali yake itatunga sheria ya matumizi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mradi wa maji kunufaisha wananchi wa Mutukula

MISSENYI, Kagera: Wananchi wapatao 7,562 kutoka vitongoji vinane katika kijiji cha Mutukula wilayani  Missenyi mkoani Kagera wanatarajiwa kunufaika na mradi…

Soma Zaidi »
Featured

Mamlaka Tanzania, Algeria zajadili kuinua sekta ya petroli, gesi asilia

ALGIERS, ALGERIA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli nchini (PURA) na Mamlaka ya Udhibiti wa Petroli Algeria (ARH)…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwenge wazindua mabweni Kyaka sekondari

KAGERA: Mwenge wa Uhuru umezindua bweni la wasichana wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kyaka iliyopo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwana FA aahidi kushughulikia changamoto Muheza

MUHEZA Tanga: MGOMBEA Mgombea ubunge wa jimbo la Muheza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamis Mwinjuma amesema iwapo atachaguliwa nafasi…

Soma Zaidi »
Chaguzi

SAU: Tutainua wazawa, tutailisha Afrika

CHAMA cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema ndani ya miaka mitano, serikali yake itazalisha ajira milioni 10 katika sekta za…

Soma Zaidi »
Back to top button