Year: 2025

Michezo na Burudani

TPSA yaomba msaada wa Sh milioni 15.6

DAR ES SALAAM : CHAMA cha Kuogelea kwa Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TPSA) kimetoa ombi la msaada wa Sh milioni…

Soma Zaidi »
Fursa

FCC yawavuta wawekezaji IATF

ALGIERS, ALGERIA: Tanzania imejipambanua kama nchi salama na yenye ushindani katika kuvutia uwekezaji kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Barani…

Soma Zaidi »
Tanzania

TRA yazindua dawati la uwezeshaji biashara Iringa

IRINGA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imezindua Dawati Maalumu la Uwezeshaji Biashara, hatua inayolenga kuboresha mahusiano kati…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Labour yashinda uchaguzi, Støre abaki madarakani

OSLO, NORWAY : WAZIRI Mkuu wa Norway, Jonas Gahr Støre ametangaza ushindi katika uchaguzi wa bunge uliofanyika jana Jumatatu.

Soma Zaidi »
Featured

COP30 iwe muarobaini wa ukame, mafuriko EAC

NOVEMBA mwaka huu dunia itakutana nchini Brazil kwenye Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Bayrou aondoka, Macron aanza mchakato kumtafuta mrithi

PARIS, UFARANSA: WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Francois Bayrou ameondolewa madarakani baada ya serikali yake kupoteza kura ya imani katika Bunge…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Samia aacha ahadi 4 Nyanda za Juu Kusini

MGOMBEA wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amefanya mikutano 11 ya kampeni katika mikoa ya Nyanda…

Soma Zaidi »
Chaguzi

ADC kufuta malipo kumuona daktari

CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema serikali yake itafuta utaratibu wa mgonjwa kulipa fedha za kumuona daktari katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi wanaoishi pembezoni mwa Bukoba kupata maji safi

BUKOBA: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa maji ambao wa Sh bilioni…

Soma Zaidi »
Gesi

Balozi, bosi Sonatrach wateta fursa za uwekezaji sekta ya mafuta, gesi asilia

Algiers, Algeria: Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Iman Njalikai amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti na mkurugenzi mtendaji wa Kampuni…

Soma Zaidi »
Back to top button