Year: 2025

Chaguzi

Polisi yaonya vitisho, uzushi Uchaguzi Mkuu

JESHI la Polisi limeagiza wananchi wajiepushe na lugha za vitisho, matusi na uchonganishi wakati huu wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wachepusha maji Mto Malagarasi kuzalisha umeme

KIGOMA; Kampuni ya DongFang Electric (DEC) imefanikiwa kuchepusha maji ya Mto Malagarasi katika eneo la Igamba, Kijiji cha Mwamila Wilaya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Makandarasi wanawake wapewa mradi wa bil 42/-

SONGWE: MAKANDARASI wanawake wazawa wakabidhiwa mradi wa km 20 ujenzi barabara kiwango cha lami kutoka kata  ya Luanda hadi Idiwili…

Soma Zaidi »
Maisha ya Vijijini

Katavi wamsifu Samia umeme vijijini

KATAVI: WANANCHI  wa kijiji cha Mapili kilichopo Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi wamemshukuru Rais wa Samia Suluhu Hassan kwa…

Soma Zaidi »
Africa

EU yatishia kuiwekea vikwazo Iran

GENEVA : UFARANSA na Ujerumani zimeonya zitarudisha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran iwapo suluhu la kidiplomasia halitapatikana…

Soma Zaidi »
Featured

Tani 18 dawa za kulevya zadakwa Dar

DAR ES SALAAM :MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imekamata shehena ya dawa mpya ya kulevya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Majaliwa akagua miundombinu BRT

DAR ES SALAAM: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi yaendayo…

Soma Zaidi »
Infographics

Mahakama kutoa amri J’tatu ushahidi ‘live’ kesi ya Lissu

DAR ES SALAAM; MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Agosti 18,2025 itatoa amri kuhusu kurushwa mubashara kwa maelezo ya mashahidi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vitendo 1,338 ukatili kijinsia vyaripotiwa Mtwara

MTWARA: JUMLA ya vitendo 1,338 vya ukatili wa kijinsia vimeripotiwa kwa nyakati fotauti mkoani mtwara kwa kipindi cha Januari hadi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Lulu balozi mpya wa Lumina

DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Lumina Skin, inayojihusisha na bidhaa za ngozi, imemtangaza muigizaji maarufu Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa balozi…

Soma Zaidi »
Back to top button