Year: 2025

Wanawake

Taasisi yawezesha wanawake 8,378 mafunzo VETA

DODOMA; Taasisi ya Wanawake na Samia Tanzania imeanza mkakati wa kuwapa mafunzo ya namna kushiriki zabuni za serikali baada ya…

Soma Zaidi »
Featured

Ndugai kuzikwa kwao J’tatu

SPIKA mstaafu wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (62) anatarajiwa kuzikwa Jumatatu ijayo kijijini kwake Sejeli katika Kata ya Sejeli…

Soma Zaidi »
Featured

Mbuyu, mti wenye hadithi nyingi za kipekee

Mbuyu ni mti uliojaaliwa sifa za kipekee katika miti yote duniani kutokana na kuwa na matumizi mengi sambamba na kuwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

UN yaipinga Israel kuongeza mapigano Gaza

NEW YORK: UMOJA wa Mataifa umesema unapinga vikali mpango wa Israel wa kupanua operesheni zake katika Ukanda wa Gaza.

Soma Zaidi »
Kimataifa

Trump, Putin kukutana wiki ijayo

GENEVA : NAIBU Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Dmitry Polyanskiy, amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin, huenda akakutana…

Soma Zaidi »
Amerika

Marekani yajenga kituo cha wahamiaji Texas

WASHINGTON : SERIKALI ya Marekani imejenga kituo chake cha kwanza kikubwa cha kuhudumia wahamiaji katika kambi ya jeshi la Fort…

Soma Zaidi »
Afya

Sudan yalia na mlipuko wa kipindupindu

GENEVA: SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa takribani watu 100,000 nchini Sudan wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu tangu mwezi Julai…

Soma Zaidi »
Biashara

Wajasiriamali Tandahimba wapongeza uwepo wa Nanenane

MTWARA: BAADHI ya wajasiliamali wadogo wanawake katika Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wameipongeza serikali kwa kuendeleza maadhimisho ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Afya ya udongo muhimu kabla ya kutumia mbolea

MOROGORO: WAKULIMA wameshauriwa kujenga tabia ya kupima afya ya udongo kwa ajili ya kujua aina ya virubutisho vilivyopo kwenye udongo…

Soma Zaidi »
Dodoma

Sangweni: Mfungamano gesi asilia, kilimo utaongeza tija

DODOMA: ENDAPO sekta za gesi asilia na kilimo zitafungamanishwa vema zitaongeza tija katika uchumi kwani zinategemeana. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…

Soma Zaidi »
Back to top button