Year: 2025

Afya

Geita yajipanga kuimarisha afya ya akili kwa watumishi

GEITA: SERIKALI mkoani Geita imeandaa mpango maalum wezeshi kwa watumishi wa umma kuwasaidia kuimarisha afya ya mwili na akili na…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mahakama yamkuta Uribe na hatia

BOGOTA : RAIS wa zamani wa Colombia, Alvaro Uribe, amepatikana na hatia ya kujaribu kuwarubuni mashahidi katika kesi ya ufisadi…

Soma Zaidi »
Kimataifa

China yazindua mpango wa kuongeza uzazi

BEIJING: WAZAZI nchini China wanapewa ruzuku ya yuan 3,600 (sawa na Sh375,000) kwa mwaka kwa kila mtoto aliye na umri…

Soma Zaidi »
Infographics

Mbio nishati safi zaiva Arusha

ARUSHA: MKUU wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi amewaaalika wananchi mbalimbali kujitokeza kushiriki mbio za riadha za Nishati Safi ya…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

Meaning of “Jirani” The word “jirani” is a Swahili noun that means:Neighbor – someone who lives near you (either at…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Wakongomani wawe wamoja kutafuta amani ya kudumu DRC

JUHUDI mbalimbali za kuleta amani na utulivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zinaendelea katika sehemu mbalimbali za…

Soma Zaidi »
Featured

Samia apaisha watalii, mapato Selous

JUHUDI za Rais Samia Suluhu Hassan za kutangaza utalii kupitia filamu ya Tanzania: The Royal Tour zimeongeza idadi ya watalii…

Soma Zaidi »
Featured

Serikali yaita wawekezaji ujenzi wa makazi mil 3.8

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi kuwekeza katika…

Soma Zaidi »
Featured

Mizigo SGR neema kwa nchi

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema kusafirisha mizigo kwa Reli ya Kisasa (SGR) kuna manufaa makubwa kwa nchi. Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kasharunga FC yatwaa ubingwa Miamia Cup

MULEBA: Timu ya Kasharunga FC imetwaa ubingwa na kujishindia kitita cha Sh milioni 10 baada ya ushindi dhidi ya Muhalila…

Soma Zaidi »
Back to top button