Year: 2025

Infographics

Chalamila: dini, siasa haviwezi kutengana

DAR: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa siasa na dini ni taasisi zinazogusa maisha ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

REA kuhakikisha 80% wanatumia nishati safi 2034

MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Hassan Saidy amesema wakala huo umejizatiti kuhakikisha 80% ya Watanzania wanatumia nishati…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia kuzindua Dira 2050 Julai 17, Dodoma

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 Julai 17,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Maandalizi Dira ya Taifa 2050 yafikia ukingoni

DAR ES SALAAM: SERIKALI imetangaza kuwa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 yamefikia ukingoni, baada ya kupitia mchakato…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

The word “jina” in Swahili translates to “name” in English. Meaning in English:Jina = Name It refers to a word…

Soma Zaidi »
Dini

Ruwa’ich akemea kutegemea sangoma badala ya Mungu

KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limekemea watu wanaokimbilia kwa waganga wa kienyeji na sehemu zisizofaa kutafuta ufumbuzi…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

‘Uamuzi wangu kujifunza Kiswahili umezaa matunda’

“UKIZUNGUMZA na mtu kwa lugha anayoielewa, hiyo inajikita akilini mwake. Ukizungumza naye kwa lugha yake, hilo linaingia moyoni mwake.” Nukuu…

Soma Zaidi »
Biashara

Dk Mwinyi ataka kasi PPP viwanja Sabasaba

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema sasa ni wakati wa kuwa na uwanja wa kisasa wa maonesho ya kimataifa…

Soma Zaidi »
Biashara

Tanzania yang’ara biashara duniani

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania inang’ara katika biashara duniani. Dk Mwinyi alisema hayo wakati akifungua Maonesho ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ufaulu kidato cha sita juu, 71 wafutiwa matokeo

  BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita na mitihani ya ualimu iliyofanyika…

Soma Zaidi »
Back to top button