Year: 2025

Tanzania

Watumishi Chato watakiwa kuondoa matabaka kazini

WATUMISHI wa taasisi tofauti ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Chato wametakiwa kuondoa matabaka ya kiutendaji baina yao ili kuimarisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Yametimia Bodi ya Ithibati wanahabari yazinduliwa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameizindua rasmi Bodi ya Ithibati ya Waandishi…

Soma Zaidi »
Fasihi

Filamu “No Other Land” yashinda Oscar

MAREKANI : FILAMU ya “No Other Land,” inayoangazia mateso ya Wapalestina kutoka kwa wanajeshi wa Israel, imeibuka mshindi wa tuzo…

Soma Zaidi »
Featured

Picha: Matukio uzinduzi Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Ithibati ya wanahabari uliofanywa leo na Waziri…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC Longido aisifu wizara msaada wa kisheria bure

ARUSHA: MKUU wa Wilaya ya Longido, Salum Kalli amesifu juhudi za wizara ya Katiba na Sheria kwa kuwaletea wananchi huduma…

Soma Zaidi »
Tanzania

Asilimia 91 ya Saccoss Geita hali mbaya

MKOA wa Geita umebainisha kuwa jumla ya Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo (SACCOS) 195 sawa na asilimia 91…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kabudi azindua bodi ya ithibati ya waandishi wa habari

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameizindua rasmi Bodi ya Ithibati ya Waandishi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi Navikole wafurahia miradi ya maendeleo

WAKAZI wa kijiji cha Navikole kata ya Chawi, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameipongeza serikali kwa kuwaletea miradi mbalimbali…

Soma Zaidi »
Jamii

Wazazi washauriwa kuwekeza watoto wa kike

WAZAZI na walezi mkoani Mtwara wameombwa kuwekeza kwa watoto wa kike na wenye mahitaji maalum kwenye fursa mbalimbali za ufundi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi Nanyamba kunufaika na mradi wa umwagiliaji

WANANCHI wa Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara watanufaika na mradi wa umwagiliaji wa Arusha Chini kata ya Chawi utaogharimu…

Soma Zaidi »
Back to top button