Year: 2025

Chaguzi

Wapiga kura 175, 068 kupiga kura Ngorongoro

ARUSHA: MSIMAMIZI wa uchaguzi katika Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Emmanuel Mchome amesema katika jimbo hilo waliojiandikisha kupiga kura ni…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mgombea ubunge CCM aahidi karakana la ujuzi mjini Geita

GEITA: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Geita Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Chacha Wambura ameahidi iwapo atachaguliwa atafanikisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

TPA yaanza kutekeleza ahadi za Dk Samia Kigoma

KIGOMA: Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imekabidhi eneo la ujenzi wa soko katika bandari ndogo ya Kibirizi na Manispaa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Amani yatawala Mtwara uchaguzi mkuu

MTWARA: MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amewakikishia hali ya amani na usalama wananchi mkoani humo wakati wa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Vifaa vya uchaguzi vyawasili Arusha

ARUSHA: MKUU wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amesema kuwa vifaa vyote vya uchaguzi vimeshawasili mkoani Arusha kwa ajili ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Makonda aahidi neema kwa vijana

ARUSHA: MGOMBEA ubunge Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema wananchi wakimchagua atahakikisha vijana wanapatiwa…

Soma Zaidi »
Siasa

NCCR -Mageuzi wasisitiza amani ilindwe

DAR ES SALAAM:Chama cha NCCR Mageuzi, kimesema amani na mshikamano ni utajiri mkubwa kuliko dhahabu almasi,  hivyo kila Mtanzania ana…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Polisi Songwe kuimarisha ulinzi uchaguzi mkuu

SONGWE: ZIKIWA zimebaka siku mbili kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limesema limeweka mikakati…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mjumbe INEC ataka uadilifu uchaguzi mkuu

MOROGORO: WASIMAMIZI na wasaidizi wa vituo vya kupigia kura wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, uaminifu na uzalendo ili kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mtanzania ang’ara kuogelea baharini Kenya

NAIROBI: LOLITA Borega ameibuka gumzo baada ya kung’ara katika mashindano ya AA Junior and Senior Open Water Swimming Championship yaliyofanyika…

Soma Zaidi »
Back to top button