Year: 2025

Afya

TMDA ‘yakomaa’ viwango WHO

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imefanikiwa kushikilia hadhi ya Kiwango cha Tatu cha Ukomavu (WHO Maturity Level 3)…

Soma Zaidi »
Chaguzi

UWT:Wapuuzeni wanaopiga kelele,mkapige kura

KATIBU MKUU wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Susan Kunambi, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kairuki aahidi kutatua migogoro ya ardhi Msigani

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kibamba, Angellah Kairuki, ameainisha vipaumbele 10 atakavyotekeleza katika kata ya Msigani ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge…

Soma Zaidi »
Tanzania

Msando aihakikishia Ubungo amani Oktoba 29

DAR ES SALAAM: WAFANYABIASHARA wa Wilaya ya Ubungo wamehakikishiwa uwepo wa amani Oktoba 29, siku ya uchaguzi na kwamba baada…

Soma Zaidi »
Featured

Beatrice ang’ara, Top 5 Miss Grand 2025

MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International 2025 yaliyomalizika nchini Thailand, Beatrice Alex Akyoo, amefanikiwa kupeperusha vyema bendera…

Soma Zaidi »
Dini

Askofu ataka watanzania kuhubiri amami

ARUSHA: ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya International Evangelism Church(IEC) Tanzania, Askofu Eliudi Isangya amewataka watanzania kila mmoja kwa imani yake…

Soma Zaidi »
Africa

Laikipia inavyoendelea kuwa chini ya ukoloni

NAIROBI: Katikati ya Laikipia, mji tulivu wa Kenya ambao bado unakumbwa na kivuli cha ukoloni, familia nyingi bado zinaomboleza na…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Serikali bega kwa bega na wafugaji Ngorongoro

Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeendelea kuzijali jamii za kifugaji, hasa katika maeneo ya pembezoni kama Wilaya ya  Ngorongoro…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wenye ulemavu Moro wapo tayari kupiga kura

MOROGORO: WATU wenye Ulemavu waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura wapo tayari kushiriki upigaji kura Oktoba 29, mwaka…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Ngajilo aahidi timu ligi kuu

IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, ameahidi kuwa moja ya vipaumbele…

Soma Zaidi »
Back to top button