Year: 2026

Tanzania

Kilomita 985 barabara ya Nyang’hwale zaidhinishwa

GEITA: SERIKALI imeidhinisha mtandao wa barabara mpya zenye urefu wa Km 985.28 katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita zitakazohudumiwa na…

Soma Zaidi »
Jamii

Kafulila ashauri malezi bora kwa watoto

Kupitia Ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa X (Zamani Twitter), Mkurugenzi wa kituo cha Ubia kati ya Sekta ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC Kwimba asisitiza usimamizi wa karibu wa miradi

MWANZA: MKUU wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Lúdigija, amesistiza umuhimu wa kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mkazi Samuye asifu msaada wa kisheria

SHINYANGA: Mkazi wa kijiji cha Ishinabulandi kata ya Samuye Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Kulwa Malale amesema Msaada wa kisheria…

Soma Zaidi »
Wanawake

Wanawake wahamasishwa kujenga familia zenye maadili

DAR ES SALAAM: Kongamano maalumu lililowakutanisha wanawake kutoka sekta mbalimbali limefanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mama…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vijana kunufaika na mikopo isiyo na riba ya ufugaji samaki

KAGERA: Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya kilimo(TADB) inaendelea kutekeleza zoezi la utoaji wa mikopo isiyo na riba…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania yapiga hatua huduma za afya Afrika Mashariki

ARUSHA: Tanzania imeendelea kupiga hatua katika sekta ya afya ndani ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kutokana na…

Soma Zaidi »
Biashara

Kapinga awapa kipaumbele wazawa ajira viwandani

PWANI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amewashauri wamiliki wa viwanda vipya kutoa kipaumbele kwa wazawa kuhusu ajira ili…

Soma Zaidi »
Tanzania

CAG mstaafu Utouh azungumzia mfumo wa PPP unavyopingwa

DAR ES SALAAM: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh, amesema mfumo wa Ubia kati…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kamati yaeleza umuhimu wa sekta binafsi uwekezaji nchini

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema Serikali inatambua mchango wa sekta binafsi nchini…

Soma Zaidi »
Back to top button