Year: 2026

Tanzania

Mkumbo: Changamkieni matibabu bure

DAR ES SALAAM:WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof,Kitila Mkumbo amewataka wananchi kuchangamkia kambi ya matibabu bure na…

Soma Zaidi »
Gesi

Serikali yaeleza hali ya upatikanaji mafuta

DAR ES SALAAM: Serikali imeeleza kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta nchini bado ni shwari, huku bei zikiwa himilivu, ambapo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi 18 watua Korea kimasomo

DAR ES SALAAM :ZAIDI ya wanafunzi wa Kitanzania 18 wamepelekwa nchini korea kwa ajili ya masomo ikiwa ni matokeo ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanawake 39.5% wamekutana na ukatili kijinsia

DAR ES SALAAM: Serikali imesema ukatili wa kijinsia unaendelea kuwa moja ya changamoto kubwa za haki za binadamu nchini, huku…

Soma Zaidi »
Tanzania

UNCDF yaunga mkono matumizi nishati safi shuleni

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Maendeleo na Mitaji (UNCDF) limesema kuwa linaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Afya

Madaktari 30 raia wa China kutoa huduma za afya bure Ubungo

DAR ES SALAAM: Madaktari 30 kutoka China wanatarajiwa kuendesha kambi maalum ya siku mbili ya kutoa huduma za afya bure…

Soma Zaidi »
Tanzania

TET, taasisi kuboresha mitaala wanafunzi wenye mahitaji maalumu

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Jenga Hub chini ya Miss Tanzania 2006, Nancy Sumari,…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mbio zatoa hamasa AFCON 2027

ARUSHA: Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Yusuph…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Maadili ni msingi uongozi bora’

MOROGORO: OFISI ya Rais ,Sekretarieti ya Maasili ya viongozi wa Umma imewataka viongozi kuzingatia misingi ya maadili kwenye utumishi wao…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Filamu yaibua mjadala haki za waafrika

KAMPUNI za Afric Media Group na Genesis Entertainment Agency kutoka Cameroon zimefanya leo onesho la makala fupi iitwayo Universal Justice…

Soma Zaidi »
Back to top button