Year: 2026

Tanzania

Dk Kijaji akagua miradi ya Sh bilioni 110.4 Kagera

KAGERA: Waziri wa Maliasili na Utalii na Mlezi wa Mkoa wa Kagera, Dk Ashatu Kijaji, amehitimisha ziara ya siku tano…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kamachumu Stars bingwa kombe la Mwijage

KAGERA: Timu ya Kamachumu Stars imeibuka bingwa wa mashindano ya Paul Mwijage Cup baada ya kuifunga Kanoni FC kwa bao…

Soma Zaidi »
Afya

RUWASA yaagizwa kutatua kero ya maji hospitali ya Ngara

KAGERA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Ashatu Kijaji, ambaye ni Mlezi wa Mkoa wa Kager, ameiagiza Wakala wa Maji…

Soma Zaidi »
Tanzania

Prof Mkumbo aunga mkono juhudi za THRDC

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais–Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amepongeza Mtandao wa Watetezi wa Haki…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kampuni yashinda tuzo Tehama

DAR ES SALAAM: Kampuni ya Mainstream Group Limited imeshinda tuzo mbili katika Tuzo za Tehama Awards 2026, ikiwemo nafasi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi Tanzania watimkia India masomoni

DAR ES SALAAM: Mamia ya wanafunzi  wanatarajia kwenda masomoni kwenye vyuo vikuu mbalimbali nchini India kuanzia wiki ijayo kupitia Wakala…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Helios Towers yaipiga ‘jeki’ maabara shule ya umma Bukoba

BUKOBA, KAGERA: Kampuni ya Helios Towers imezindua rasmi maabara ya kisasa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika Shule…

Soma Zaidi »
Fedha

BOT yahimiza wakulima kuchangamkia mikopo ya riba nafuu

DODOMA: BENKI Kuu Tanzania (BOT) imewahimiza wakulima kuchangamkia mikopo ya riba nafuu inayotolewa na mabenki nchini kupitia fedha za Mfuko…

Soma Zaidi »
Tanzania

Miaka 15 ya mgogoro wa ardhi, serikali yaingilia kati

ARUSHA: Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kaspar Mmuya, amewataka wananchi wa Monduli na Simanjiro kufafanua kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yapongeza elimu ya vipimo kwa watoto

DODOMA: NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Denis Londo, amepongeza Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kwa mpango wake wa kuwajengea…

Soma Zaidi »
Back to top button