‘Ushiriki wa Tanzania kimataifa lazima ulete manufaa’

DODOMA: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amezindua rasmi Mwongozo wa Kuratibu Ushiriki wa Wadau wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum katika Mikutano ya Kikanda na Kimataifa wa mwaka 2024, hatua inayolenga kuongeza ufanisi na tija ya ushiriki wa Tanzania katika majukwaa ya kimataifa.
Akizungumza jijini Dodoma katika kikao cha wadau walioshiriki Mkutano wa 70 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani (CSW70), Dk. Gwajima alisema mwongozo huo umeandaliwa mahsusi ili kuimarisha usimamizi, ufuatiliaji na tathmini ya ushiriki wa Serikali pamoja na wadau mbalimbali katika mikutano ya nje ya nchi.

Amesema utekelezaji wa mwongozo huo utawezesha Serikali kuwa na mfumo madhubuti wa kufuatilia mikutano inayowahusisha wadau wa maendeleo ya jamii, jinsia na wanawake, sambamba na kutathmini manufaa yanayopatikana kwa taifa kupitia ushiriki huo.
“Lengo letu ni kuhakikisha kila ushiriki wa Tanzania katika mikutano ya kikanda na kimataifa unaleta matokeo yenye manufaa kwa wananchi na taifa kwa ujumla,” amesema Dk. Gwajima.
Ameongeza kuwa mwongozo huo pia utaimarisha uwajibikaji na ushirikishwaji kwa kuweka utaratibu unaoeleweka kuanzia hatua za maandalizi, ushiriki hadi tathmini baada ya mikutano.

Aidha, amewataka viongozi wa Wizara kuhakikisha wadau wanashirikishwa tangu hatua za awali za maandalizi ya mikutano hiyo, ikiwemo katika uteuzi wa viongozi, wajumbe na kamati ndogondogo zitakazosimamia ushiriki wa Tanzania katika majukwaa ya kikanda na kimataifa.
Dk. Gwajima amesema ushirikiano wa karibu kati ya Serikali na wadau utasaidia kuimarisha uwakilishi wa Tanzania na kuhakikisha sauti ya nchi inasikika kwa ufanisi zaidi katika ajenda za maendeleo ya wanawake, jinsia na makundi maalum duniani.

Ameeleza kuwa Tanzania inahitaji ushiriki wenye tija zaidi katika mikutano ya kikanda na kimataifa ili kuhakikisha masuala ya wanawake, jinsia na makundi maalum yanazalisha matokeo chanya kwa taifa.
Pia amesisitiza kuwa mafanikio ya ushiriki wa kimataifa yanategemea maandalizi madhubuti yanayojumuisha uandaaji wa ripoti za nchi, upatikanaji wa rasilimali fedha na ushirikishwaji wa makundi mbalimbali ya kijamii yakiwemo wanawake, vijana, wanaume, wazee, wajane pamoja na viongozi wa sasa na waliostaafu.
“Tunatakiwa kujipanga kama timu moja kuhakikisha ushiriki wetu unaendana na kaulimbiu za mikutano husika na kuleta manufaa halisi kwa nchi,” amesema Dk. Gwajima.
Kikao hicho kimewakutanisha viongozi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, mashirika yasiyo ya kiserikali, wahandisi wanawake, majaji pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo ya jinsia na wanawake nchini, kwa lengo la kutathmini mafanikio na changamoto zilizojitokeza katika Mkutano wa CSW70 uliofanyika jijini New York, Marekani mwezi Machi mwaka huu.




The cost of purchasing a firearm in Tanzania is high, with a new pistol (such as a Glock 26) estimated to cost around TSh 3.9 million (approximately $1,500 – $1,600 USD) as of recent reports, according to a user
Here is a breakdown of costs and regulations regarding firearms in Tanzania:
Firearm Purchase Costs (Approximate)
Pistols: ~TSh 3.9 Million (e.g., Glock 26).
Import Permit Fee: $350 USD per rifle for temporary import.
Dealer Permit Fee: TSh 500,000 per annum.
Licensing and Administrative Fees
Under the Firearms and Ammunition Control Regulations (2018), the following fees apply:
Competency Training Fee: TSh 40,000.
Periodical Competency Test: TSh 20,000.
Renewal Fee (Pistol): TSh 70,000.
Renewal Fee (Shotgun/Rifle/Muzzleloader): TSh 35,000.
Transfer Fee: TSh 75,000.
Temporary Permit for Non-Residents: $150 USD for six months.
Important Regulations
Prohibited Firearms: Handguns, semi-automatic, and automatic firearms are generally strictly prohibited for private ownership, particularly for foreign hunters.
Import Restrictions: A maximum of 3 firearms can be imported, with a limit of 200 rounds of ammunition per firearm.
License Requirement: A separate license is required for each firearm.
For legal acquisition, citizens must typically apply to local authorities and the Tanzania Police Force for a permit, followed by purchasing from authorized dealers like Tanganyika Arms.
Note: The prices for non-lethal, high-powered water guns in Tanzania range from TSh 30,000 to TSh 210,000
Sở hữu nền tảng vận hành ổn định cùng công nghệ bảo mật tiên tiến, QQ88 tạo nên không gian giải trí trực tuyến mượt mà, tiện lợi và luôn đổi mới để nâng cao trải nghiệm người dùng.
Canva, known for its graphic design capabilities, offers a robust video editor. It combines Canva’s easy drag-and-drop interface with video creation tools. This makes Canva ideal for creating visually appealing videos with minimal editing experience. You can use Canva’s library of templates, fonts, and graphics to create professional-looking intros, outros, and text overlays. While not as feature-rich as dedicated video editors, Canva excels at simplifying the creation of visually appealing content, making it a great choice for visually focused social media marketers. Pro Tip: Toptal is best suited for experienced video editors with a strong portfolio and niche expertise in areas like corporate videos or visual effects. Video is one of the most effective tools for training and education. Corporations and e-learning platforms are increasingly relying on video content for training modules, online courses, and corporate communication, driving up demand for corporate video editors.
https://www.ixawiki.com/link.php?url=https://fastlost.fr/
AI Video Generator Google is adding Veo 3 software capabilities to its video generation feature for Google Photos. US-based users can turn static images into four-second videos by clicking either the “Subtle movements” or, for the more adventurous, the “I’m feeling lucky” options under the Create tab in Google Photos. According to Google spokesperson Michael Marconi, you can get your photo subjects to dance or shower them with confetti. Read through our list to find FREE stop motion apps for both iPhone and Android. Find out which features are important when making a stop motion video. Most apps also have in-app purchases or paid versions with extra features for making professional quality videos and a few of them run ads in the app which can be removed if you pay. Try basic editing tools like video merger and video resizer for social media. Add sounds and BGMs using our SFX library and AI music generator to make your video more fascinating. Convert text to speech to create a realistic AI human voiceover. Effortlessly try all magic tools in one place.