Wafanyabiashara wa maduka Kisarawe walia na Machinga

WAFANYABIASHARA wa maduka Wilaya Kisarawe wameomba kuondolewa kwa Machinga wanaopanga biashara mbele ya maduka yao na kusababisha wao kukosa wateja.

Wanasema hawawachukii Machinga kufanyabiashara lakini wamekerwa na hatua ya kupanga biashara mbele ya maduka yao na kusababisha kero kubwa huku wakiitaka Mamlaka ya Mapato (TRA) kwenda kutoa elimu ya ulipaji kodi wa hiyari na matumizi ya mashine za EFD.

Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabishara (JWT) mfanyabishara John Masine, amewataka TRA kuwasaidia wafanyabishara urahisi wa kupata kodi na kuwalinda kwa kuondoa wamachinga mbele ya fremu za biashara zao.

“Mfanyabishara amekodi nyumba analipa kodi TRA, lakini anakuja mmachinga anaweka kibanda mbele yake na anauza bidhaa zinazofanana kwa bei ya chini zaidi na wala halipi kodi yoyote TRA zaidi ya ushuru wa serikali ya mtaa na hakuna anayejali zaidi ya kutaka kukamua kodi bila kujua tunauza au laa,” amesema Masine.

Naye Mfanyabishara Ester Moshi, ametaka wafanyabishara kutofunga biashara siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi ambayo ni siku ya usafi kwasababu wanakwamisha shughuli za kiuchumi.

“Siyo kwamba siku hiyo biashara hazifanyiki hapana, zinafanyika lakini kwa kujificha na kukimbizana wakati serikali inaweza kupunguza muda ikawa muda wa kufungua ni saa mbili badala ya saa nne asubuhi,” amesema Moshi.

Naye Ofisa wa TRA wilayani humo, Mohamed Chifu, ameushukuru uongozi wa JWT chini ya Mwenyekiti wake Mwenyekiti wake Hamis Livembe kwa kazi kubwa wanayofanya ya kusikiliza kero za wafanyabishara lakini pia kutoa majibu ya kina kuhusu mambo mbalimbali yanayowahusu.

Amesema changamoto kubwa wanayokutana nayo TRA wilayani humo ni wafanyabishara wengi kuwa wa hali ya kati ambapo wanalipa kodi ndogo.

“Wengi wao wanalipa kodi ya ndogo kwa sababu ya halihalisi ya biashara, haujawa mji wa biashara kubwa. Kero ambazo zinatuhusu nimezibeba na naahidi nitaziwasilisha na kuzifanyia kazi,” amesema.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
JenniferTate
JenniferTate
25 days ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 25 days ago by JenniferTate
Julia
Julia
25 days ago

I’ve got my first check for a total of 13k dollars. I am so energized, this is whenever I first really acquired something. I will work much harder now and I can hardly hang tight for the following week installment.
.
.
Detail Here——————————————————–>>>  http://Www.BizWork1.Com

Angila
Angila
25 days ago

I have just received my 3rd paycheck which said that $16285 that i have made just in one month by working online over my laptop. This job is amazing and its regular earnings are much better than my regular office job. Join this job now and start making money online easily by
.
.
.
.
Just Use This Link……..> > > http://Www.Smartcareer1.com

babofe8659
25 days ago

JOIN US I’m making a good salary from home 16580-47065/ Doller week , which is amazing under a year ago I was jobless in a horrible economy. I thank God every day I was blessed with these instructions and now it’s my duty to pay it forward and share it with Everyone,
Here is I started.…………> http://profitguru7.com

Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x