Taifa Stars yaanza vibaya Afcon 2025

TANZANIA βTaifa Starsβ imeanza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), baada ya kufungwa mabao 2-1 na Nigeria βSuper Eaglesβ mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita Uwanja wa Complexe Sportif de Fes nchini Morocco.



