Nigeria 0 Morocco 0 ngoma inaenda 120
MOROCCO;- Dakika 90 zimemalizika. Nigeria 0 Morocco 0, zinaongezwa dakika 30 sasa mchezo wa nusu fainali michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) nchini Morocco.