Madaktari 30 raia wa China kutoa huduma za afya bure Ubungo

DAR ES SALAAM: Madaktari 30 kutoka China wanatarajiwa kuendesha kambi maalum ya siku mbili ya kutoa huduma za afya bure kwa wananchi wa Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam.

Kambi hiyo itafanyika katika Kituo cha Biashara cha EACLC Machi 28 na 29, 2026, ikiwa na lengo la kuwasaidia wananchi kupata uchunguzi na matibabu ya magonjwa mbalimbali bila malipo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, amesema madaktari hao watatoa huduma za upimaji na matibabu ya magonjwa mbalimbali ikiwemo kisukari, magonjwa ya moyo, saratani, shinikizo la damu pamoja na matatizo ya viungo kama pua na masikio.

“Tunawaalika wananchi wote kujitokeza kwa wingi. Wazazi na walezi wahakikishe wanawaleta watoto wao ili waweze kupimwa na kupata matibabu bure,” amesema Msando.

Kwa upande wake, Afisa Uhusiano na Habari, Linda Mtui, amesema kuwa kambi hiyo haitatoa tu matibabu bali pia ushauri wa kitaalamu kuhusu afya, pamoja na huduma maalum kwa wanawake na watoto.

Ameongeza kuwa Kituo cha Biashara cha EACLC hakilengi biashara pekee, bali pia kinajali afya na ustawi wa jamii inayokihudumia.

Kambi hiyo inatarajiwa kuwa msaada mkubwa kwa wakazi wa Ubungo na maeneo ya jirani katika kuboresha afya zao.

Habari Zifananazo

8 Comments

  1. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
    .
    This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com

    1. I just came across this amazing way to earn $10,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
      .
      This is what I do…………………… https://PayAtHome1.Com/

  2. I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
    .
    This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com

  3. I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
    This is what I do…..  
    ………………………………………………………
    …………………………………………………………………………………………………………………
    …………………………………………………………………………………………………………………………………………..https://www.work27.info

  4. I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
    This is what I do…..
    ………………………………………………………
    ……………………………………………………………………………………………………………. https://www.work27.info

  5. I get paid over $130 1 to 3 hours working from home with 2 kids at home. I never thought I’d be able to do it but my best friend earns over $27k a month doing this and she convinced me to try. The potential with this is endless.
    Heress——->w­­w­­w­­.­­w­­o­­r­­k­­2­­7­­.­­o­­n­­l­­i­­n­­e

  6. Google paid $200 a hour on the internet..my close relative has been without labor for nine months and the earlier month her compensation check was $51005 by working at home for 10 hours a day….. E­v­e­r­y­b­o­d­y m­u­s­t t­r­y t­h­i­s j­o­b n­o­w b­y j­u­s­t u­s­e ­t­h­i­s

    GOOD LUCK.:)

    Here is I started_____ ⫸w­­w­­w­­.­­w­­o­­r­­k­­2­­7­­.­­o­­n­­l­­i­­n­­e

  7. I get paid over $220 per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. the potential with this is endless…,

    This is what I do…. http://www.giftpay7.vip

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button