TPSF yandaa andiko athari bei za mafuta

DAR ES SALAAM: Shirikisho la sekta binafsi Tanzania (TPSF) imeandaa andiko la kisera pamoja na mapendekezo yanayolenga kukabiliana na athari za kupanda kwa bei za mafuta katika uzalishaji na uchumi kwa ujumla.

Kupitia andiko hilo, TPSF inapendekeza hatua mahsusi za kisera zitakazosaidia kulinda biashara, kuimarisha uzalishaji wa viwanda, na kuhakikisha uchumi unaendelea kukua licha ya changamoto ya mabadiliko ya bei za mafuta.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button