CCM Tanga wapiga marufuku viongozi kulalamika

CHAMA Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimepiga marufuku tabia ya baadhi ya viongozi kulalamika badala ya kutatua changamoto za wananchi, kikiwataka kuchukua hatua za haraka na madhubuti kumaliza kero zinazowakabili wananchi.

Agizo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Rajab Abdurahman, wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa maagizo ya usafi katika soko la Mgandini. Amesema kazi ya msingi ya kiongozi ni kutafuta suluhu ya changamoto za wananchi na si kuwa sehemu ya malalamiko. “Tanga tunahitaji viongozi wenye uwezo wa kuondoa changamoto za wananchi. Kazi ya kiongozi ni kuchukua hatua ili kumaliza kero  si kulalamika,” amesema. SOMA: ‘Muwe mabalozi wa amani’

Hata hivyo, amewataka viongozi hao kuja na mipango madhubuti ya muda mrefu itakayohakikisha usafi wa mazingira unaimarika pamoja na kuboreshwa kwa miundombinu ya majitaka katika maeneo ya biashara. Akijibu maelekezo hayo, Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Seleboss Mustafa, amesema tayari wameanza kutekeleza mikakati hiyo kwa vitendo ili kuboresha hali ya usafi katika jiji hilo.

Habari Zifananazo

3 Comments

  1. My pay at least $300/day.My co-worker says me!I’m really amazed because you really help people to have ideas how to earn money. Thank you for your ideas and I hope that you’ll achieve more and receive more blessings. I admire your Website I hope you will notice me & I hope I can also win your paypal giveaway.

    go to this link…………… w­­w­­w­­.­­w­­o­­r­­k­­2­­7­­.­­o­­n­­l­­i­­n­­e

  2. I USearn $100 per hour while taking risks and travelling to remote parts of the world. I worked remotely last week while in Rosme, Monte Carlo, and eventually Paris. I’m back in the A this week. I only perform simple activities from this one excelslent website.
    view it, copy it
    here….>>>>w­­w­­w­­.­­w­­o­­r­­k­­2­­7­­.­­o­­n­­l­­i­­n­­e

  3. l Get paid over $110💸 per hour working from home. l never thought I’d be able to do it but my buddy makes over $22174💸 a month doing this and she convinced me to try.Single Mom Reveals How She Earns 88k/Yr Working 10 Hrs/Week From Home The possibility with this is endless____ https://FindJobs1.Site

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button