Ile jioni ya mechi ndo hiyooo mnune!

DAR ES SALAAM; MECHI ya Simba dhidi ya Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara itachezwa Jumapili Mei 3, 2026 kuanzia saa 12 jioni, Ilikuwa inaonekana mbali sana.

Ipo hivi Mei 3, 2026 ilikuwa inaonekana mbali sana, baadaye ikaja mechi wiki ijayo, kuanzia Jumatatu wafurukutwa wa mpira wakaanza kusema wiki hii, baadaye ikawa inatamkwa Jumapili tutamaliza ubishi. Jumapili yenyewe ndo leo.

Tangu asubuhi wadau wanaambiana mechi jioni bwana tukamalize ubishi, sasa jioni yenyewe ndo hiyoo inakaribia, wanaonuna wanune, watakaofurahi pia rukhsa. Tukutane Uwanja wa Meja Jenerali, Isamuhyo.

Habari Zifananazo

One Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button