Mzee Onyango afariki dunia

DAR ES SALAAM; MSANII mkongwe wa vichekesho nchini Issa Joseph ‘Mzee Onyango’ amefariki dunia alfajiri ya leo.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na msanii mwenzie Seif Mbembe na kwamba taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button