Ukataji miti watishia kutoweka dawa za asili

DODOMA: Wataalamu wa tiba asili hapa nchini wameiomba serikali kuendelea kuchukua hatua za makusudi za kuhamasisha utunzaji wa mazingira ili kuendelea kulinda maliasili na uoto wa asili.

‎Wamesema kuendelea kwa vitendo vya uharibifu wa mazingira kunachangia kupotea kwa baadhi ya tamaduni za Watanzania pamoja na mimea inayotumika kutengeneza dawa za asili.

‎Wakizungumza wilayani Kongwa mkoani Dodoma walipokutana kujadili changamoto zinazoikabili sekta hiyo, viongozi wa Chama cha Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania (TAMESO-T) wamesema uhifadhi wa mazingira ni nguzo muhimu katika kulinda urithi wa tiba asili ambao umeendelea kusaidia huduma za afya kwa jamii kwa miaka mingi.

‎Kwa upande wake Katibu Mkuu wa TAMESO-T, Lucas Mlipu, amesema kuna haja ya kuongeza juhudi za upandaji miti na uhifadhi wa maeneo ya asili ili kuhakikisha mimea tiba haiendelei kutoweka kutokana na shughuli za kibinadamu zinazoharibu mazingira.

‎Naye, Mwenyekiti wa TAMESO-T, Bujukano Mahungu, amesema elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira inapaswa kupewa kipaumbele ili kizazi cha sasa na kijacho kiweze kunufaika na rasilimali hizo muhimu.

‎Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mayeka Simon, amesema serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha mazingira yanatunzwa na maliasili zinahifadhiwa kwa manufaa ya maendeleo endelevu ya taifa.

‎Wadau hao wameeleza kuwa ushirikiano kati ya serikali, taasisi na wananchi ni muhimu katika kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira na kulinda urithi wa tiba asili nchini.

Habari Zifananazo

5 Comments

  1. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa mwaka 2022 (The Written Laws (Financial Provisions) Amendment Act, 2022), ambao unalenga kufanya marekebisho ya Sheria 6 za kodi, mirahaba na uwekezaji.

    Akiwasilisha Muswaha huo bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema Lengo la Muswada huu ni kufanya marekebisho kwenye Sheria zinazosimamia kodi na mrabaha kwa kubadili viwango vya kodi na mrabaha.

    Aliongeza kuwa Muswada huo unalenga kuweka taratibu za utoaji vivutio kwa wawekezaji ili kuhamasisha uzalishaji kwa viwanda vya ndani ya nchi vinavyozalisha mbolea na maguni ya mkonge, pamoja na kuondoa changamoto zilizopo katika utekelezaji wa Sheria ya uwekezaji Tanzania, Sura 38.

    Mhe. Nchemba alizitaja Sheria zinazopendekezwa kufanyiwa marekebisho kupitia Muswada huo kuwa ni Sheria ya Ushuru wa Bidhaa Sura 147, Sheria ya Kodi ya Mapato Sura 332, Sheria ya Madini Sura 123, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta Sura 220 na Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani Sura 148.

    “Sehemu ya Pili ya Muswada yenye ibara za 3 hadi 5 inapendekeza kurekebisha Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura ya 147, ambapo kifungu cha 128 kinapendekezwa kurekebishwa ili kumpa mamlaka Waziri mwenye dhamana na masuala ya fedha, baada ya kupata idhini ya Baraza la Mawaziri kusamehe ushuru kwenye bidhaa zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi ya uwekezaji mahiri na mahiri maalumu itakayoidhinishwa na Kamati ya Taifa ya Uwekezaji (NISC)”, alifafanua Dkt. Nchemba.

    Alibainisha kuwa iwapo itabainika kwamba msamaha uliotolewa kwa mwekezaji umetumika tofauti na malengo yaliyokusudiwa, msamaha husika utafutwa na mwekezaji atalazimika kulipa kodi iliyosamehewa.

    “Marekebisho haya yanayopendekezwa yanalenga kuwianisha masharti ya Sheria hii na masharti ya Sheria ya Uwekezaji Tanzania ili kuboresha utekelezaji wa vivutio vitakavyotolewa kwa wawekezaji”, alisema Mhe. Nchemba.

    Alisema sehemu hii inapendekeza kurekebisha Jedwali la Nne la Sheria hii, kwa kuongeza ushuru wa bidhaa kwenye mvinyo unaotokana na zao la zabibu unaoingizwa kutoka nje ya nchi kutoka shilingi 2,466.45 kwa lita hadi shilingi 5,600 kwa lita.

    1. ★彡[𝐍𝐄𝐄𝐃 𝐏𝐄𝐎𝐏𝐋𝐄 𝐅𝐎𝐑 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝐓𝐈𝐌𝐄 𝐎𝐍𝐋𝐈𝐍𝐄 𝐖𝐎𝐑𝐊]彡★

      I get paid over $220 per hour working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $35,000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by visiting Following Link…
      .
      You can check more……………… https://Www.Payathome9.Com

  2. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa mwaka 2022 (The Written Laws (Financial Provisions) Amendment Act, 2022), ambao unalenga kufanya marekebisho ya Sheria 6 za kodi, mirahaba na uwekezaji.

    Akiwasilisha Muswaha huo bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema Lengo la Muswada huu ni kufanya marekebisho kwenye Sheria zinazosimamia kodi na mrabaha kwa kubadili viwango vya kodi na mrabaha.

    Aliongeza kuwa Muswada huo unalenga kuweka taratibu za utoaji vivutio kwa wawekezaji ili kuhamasisha uzalishaji kwa viwanda vya ndani ya nchi vinavyozalisha mbolea na maguni ya mkonge, pamoja na kuondoa changamoto zilizopo katika utekelezaji wa Sheria ya uwekezaji Tanzania, Sura 38.

    Mhe. Nchemba alizitaja Sheria zinazopendekezwa kufanyiwa marekebisho kupitia Muswada huo kuwa ni Sheria ya Ushuru wa Bidhaa Sura 147, Sheria ya Kodi ya Mapato Sura 332, Sheria ya Madini Sura 123, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta Sura 220 na Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani Sura 148.

    “Sehemu ya Pili ya Muswada yenye ibara za 3 hadi 5 inapendekeza kurekebisha Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura ya 147, ambapo kifungu cha 128 kinapendekezwa kurekebishwa ili kumpa mamlaka Waziri mwenye dhamana na masuala ya fedha, baada ya kupata idhini ya Baraza la Mawaziri kusamehe ushuru kwenye bidhaa zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi ya uwekezaji mahiri na mahiri maalumu itakayoidhinishwa na Kamati ya Taifa ya Uwekezaji (NISC)”, alifafanua Dkt. Nchemba.

    Alibainisha kuwa iwapo itabainika kwamba msamaha uliotolewa kwa mwekezaji umetumika tofauti na malengo yaliyokusudiwa, msamaha husika utafutwa na mwekezaji atalazimika kulipa kodi iliyosamehewa.

    “Marekebisho haya yanayopendekezwa yanalenga kuwianisha masharti ya Sheria hii na masharti ya Sheria ya Uwekezaji Tanzania ili kuboresha utekelezaji wa vivutio vitakavyotolewa kwa wawekezaji”, alisema Mhe. Nchemba.

    Alisema sehemu hii inapendekeza kurekebisha Jedwali la Nne la Sheria hii, kwa kuongeza ushuru wa bidhaa kwenye mvinyo unaotokana na zao la zabibu unaoingizwa kutoka nje ya nchi kutoka shilingi 2,466.45 kwa lita hadi shilingi 5,600 kwa lita..

  3. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa mwaka 2022 (The Written Laws (Financial Provisions) Amendment Act, 2022), ambao unalenga kufanya marekebisho ya Sheria 6 za kodi, mirahaba na uwekezaji.

    Akiwasilisha Muswaha huo bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema Lengo la Muswada huu ni kufanya marekebisho kwenye Sheria zinazosimamia kodi na mrabaha kwa kubadili viwango vya kodi na mrabaha.

    Aliongeza kuwa Muswada huo unalenga kuweka taratibu za utoaji vivutio kwa wawekezaji ili kuhamasisha uzalishaji kwa viwanda vya ndani ya nchi vinavyozalisha mbolea na maguni ya mkonge, pamoja na kuondoa changamoto zilizopo katika utekelezaji wa Sheria ya uwekezaji Tanzania, Sura 38.

    Mhe. Nchemba alizitaja Sheria zinazopendekezwa kufanyiwa marekebisho kupitia Muswada huo kuwa ni Sheria ya Ushuru wa Bidhaa Sura 147, Sheria ya Kodi ya Mapato Sura 332, Sheria ya Madini Sura 123, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta Sura 220 na Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani Sura 148.

    “Sehemu ya Pili ya Muswada yenye ibara za 3 hadi 5 inapendekeza kurekebisha Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura ya 147, ambapo kifungu cha 128 kinapendekezwa kurekebishwa ili kumpa mamlaka Waziri mwenye dhamana na masuala ya fedha, baada ya kupata idhini ya Baraza la Mawaziri kusamehe ushuru kwenye bidhaa zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi ya uwekezaji mahiri na mahiri maalumu itakayoidhinishwa na Kamati ya Taifa ya Uwekezaji (NISC)”, alifafanua Dkt. Nchemba.

    Alibainisha kuwa iwapo itabainika kwamba msamaha uliotolewa kwa mwekezaji umetumika tofauti na malengo yaliyokusudiwa, msamaha husika utafutwa na mwekezaji atalazimika kulipa kodi iliyosamehewa.

    “Marekebisho haya yanayopendekezwa yanalenga kuwianisha masharti ya Sheria hii na masharti ya Sheria ya Uwekezaji Tanzania ili kuboresha utekelezaji wa vivutio vitakavyotolewa kwa wawekezaji”, alisema Mhe. Nchemba.

    Alisema sehemu hii inapendekeza kurekebisha Jedwali la Nne la Sheria hii, kwa kuongeza ushuru wa bidhaa kwenye mvinyo unaotokana na zao la zabibu unaoingizwa kutoka nje ya nchi kutoka shilingi 2,466.45 kwa lita hadi shilingi 5,600 kwa lita…

  4. I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
    This is what I do…..    https://www.work27.info

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button