Simba yaiduwaza Yanga

DAR ES SALAAM; ILE siku ambayo mashabiki wa Simba walikuwa wakiisubiri kwa hamu kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga ndo leo Oktoba 10, 2026. Simba 2 Yanga 1.

Muda mfupi uliopita Simba imeiadhibu Yanga kwa mabao 2-1 mchezo wa kusisimua uliofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mabao ya Neo Maema na Elie Mpanzu kwa Simba yote kipindi cha pili wakati la Yanga lilifungwa na Peteer Shalulile



