Feisal aomba kuvunja mkataba Yanga
KIUNGO Feisal Salum ‘Fei Toto’ , leo Machi 6, 2023, ametinga ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), kuwasilisha rasmi barua ya kuomba kuvunja mkataba wake na Yanga ya Dar es Salaam.