Yanga wakitaka lao usilete mdomo!

KIGOMA;YANGA wakitaka lao usilete mdomo! Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kati ya Mashujaa ya Kigoma na Yanga ya Dar es Salaam uliomalizika muda mfuoi uliopita Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma na wenyeji kulala kwa mabao 0-2.

Kutokana na matokeo hayo Yanga imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo yenye timu 16, ikifikisha pointi 63, mbele ya mtani wake Simba yenye pointi 58. Simba ipo nyuma mchezo mmoja na itashuka uwanjani kesho kuivaa Pamba Jiji.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Mudathir Yahya na Bakari Mwamnyeto, hivyo kuzima tambo za kocha wa Mashujaa, Jamhuri Kihwelo β€˜Julio’, ambaye kabla ya mchezo alitoa kauli za kubeza wachezaji wa Yanga hasa wale wa kigeni.

Habari Zifananazo

2 Comments

  1. β˜…ε½‘[𝐍𝐄𝐄𝐃 ππ„πŽππ‹π„ π…πŽπ‘ 𝐏𝐀𝐑𝐓 π“πˆπŒπ„ πŽππ‹πˆππ„ π–πŽπ‘πŠ]ε½‘β˜…

    I get paid over $220 per hour working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $35,000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by visiting Following Link…
    .
    You can check more……………… https://Www.Payathome9.Com

  2. I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
    This is what I do…..Β  Β Β https://www.work27.info

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button