Ray awapa somo wasanii chipukizi

MSANII wa filamu nchini Vincent Kigosi ‘Ray’, amewaasa wasanii chipukizi kufanya kazi kwa bidii bila kujali maslahi, bali

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Ray amesema kuwa wasanii wengi wachanga ukiwatafuta wafanye kazi wanatanguliza zaidi fedha, badala ya kujali nafai aliyopewa.

“Nilikuwa nafanya kazi mwezi mzima narekodi tu, nalipwa shilingi 5,000 sikuumia kwa sababu nilikuwa najua natengeneza jina langu, ambalo sikutaka kupoteza nafasi, hadi sasa jina ndio linanisaidia kuendesha maisha  ya kila siku  na familia yangu.

“Ningesema niangalie maslahi msingenijua kama Ray, tulifika kipindi tuliitwa hadi wauza sura, lakini sasa hivi kila mtu anatamani kuwa muigizaji, awe na majina kama sisi,” amesema Ray.

 

Habari Zifananazo

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button