Msonde afundisha wanafunzi, kupima KPI

TABORA: NAIBU  Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde ameingia darasa na kuwafundisha somo la Hisabati wanafunzi wa darasa la saba katika shule ya Msingi Ulaya iliyopo katika halmashauri ya wilaya Igunga Mkoani Tabora.

Msonde amefundisha somo hilo leo Agosti 29,  2023,  baada ya kufanya ziara katika shule hiyo na  kukagua hali ya utoaji wa elimu mashuleni na kukagua utekeleza wa vigezo vya kuboresha elimu nchini (KPI).

Aidha, Dkt. Msonde alitaka kujihakikishia utayari wa wanafunzi hao wa darasa la saba wanaotarajia kufanya mtiani wa kuhutimu elimu ya msingi mwezi Septemba 2023.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button