Simba yaanza safari kuifuata Power Dynamos

KLABU ya Simba SC leo imeondoka nchini kuelekea Zambia kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Power Dynamos utakaochezwa Jumamosi hii.

Beki Shomary Kapombe akiwa uwanja wa Ndege kuanza safari hiyo

Wiki moja baadaye baada ya mchezo huo, Simba itarejeana na Dynamos uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

Beki Inonga akiwa sehemu ya kikosi hicho, uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere

Mshambuliaji John Bocco akiwa tayari kuelekea Zambia

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button