Kipa wa boli alikuwa anasemaje hapa?

ALGERIA; UNAFIKIRI golikipa wa Yanga, Djigui Diarra hapa alikuwa anasemaje? Ilikuwa juzi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi B kati ya JS Kabyllie ya Algeria na Yanga. Timu hizo hazikufungana. (Picha kwa hisani ya Yanga SC).

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button