PICHA| Rais Samia kwenye mjadala wa wakuu EAC

ARUSHA – Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo Novemba 29, 2024.

 

Washiriki mbalimbali wa Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo Novemba 29, 2024

 

 

Mawazili na viongozi wengine wakifuatilia mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo Novemba 29, 2024

Habari Zifananazo

Back to top button