Yanga yatinga makundi Afrika

DAR ES SALAAM;  Yanga ya Dar es Salaam imetinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Silver Strikers ya Malawi, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam leo Jumamosi Oktoba 25, 2025.

Kutokana na matokeo hayo Yanga imefuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 2-1. Mchezo wa kwanza nchini Malawi wenyeji walishinda bao 1-0.

Habari Zifananazo

One Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button