MSUMBIJI : Mapato ya bandari yashuka tani mil 30.9

MSUMBIJI : BANDARI kubwa zaidi nchini Msumbiji imeripotiwa kushuka kibiashara kwa mwaka 2024 kutokana na vurugu za uchaguzi.

Vurugu hizo za uchaguzi  ikiwemo maandamano  yalisababisha mpaka na barabara kadhaa kufungwa nchini humo..

Hatahivyo waendeshaji wa bandari hiyo wamesema shughuli za kibiashara za usafirishaji mizigo kwenye bandari hiyo  mwaka 2024 zilishuka na kufikia tani milioni 30.9 ikilinganishwa na tani milioni 31.2 zilizorekodiwa kusafirishwa mwaka 2023.

SOMA: Venancio Mondlane arejea Msumbiji

Habari Zifananazo

Back to top button