Mwinyi amtembelea mwalimu Aliyani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh Ali Hemed Jabir (Mwalimu Aliyani) ambae ni Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumjulia hali yake na kuzungumza naye.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button