Picha: Matukio uzinduzi Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Ithibati ya wanahabari uliofanywa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Ithibati(Picha zote na Frank Buliro).
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Deodatus Balile akizungumza kwenye uzinduzi huo.
KAIMU Meneja wa Huduma za Habari Lugha za Kigeni kwa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Christopher Majaliwa (kushoto) na Kaimu Meneja wa Habari za Kidigitali wa TSN, Sylvester Domasa, wakiwa kwenye uzinduzi huo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button