Matukio Morocco v Stars

MOROCCO; TIMU ya Taifa ya Tanzania βTaifa Starsβ imepoteza kwa mabao 2-0Β dhidi ya Morocco mchezo waΒ kufuzu Kombe la Dunia 2026 usiku wa kuamkia leo kwenye Uwanja wa Honneir, Oudja, Morocco. (Picha zote kwa hisani ya TFF).




