Shamrashamra uzinduzi Daraja la JP Magufuli

MWANZA; Shamrashamra wakati wa uzinduzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66, ambalo limefunguliwa rasmi na Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza leo Juni 19, 2025.




