Lukumay ajitosa ubunge Arumeru Magharibi

MWENYEKITI wa Chama Cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA), mfanyabiashara maarufu, na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elias Lukumay, amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi, Mkoa wa Arusha.

