Arsenal yahamia kwa Eze

LONDON: KLABU ya Arsenal wanawasiliana na kambi ya Eberechi Eze kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo majira ya joto.
 
Mazungumzo ya awali yalifanyika huku Arsenal ikifahamishwa kuhusu masharti ya mkataba wa mwisho na Crystal Palace.
 
Tottenham pia wanamtaka Eze, huku Spurs wakiongeza pia Mohammed Kudus kwenye orodha yao fupi ya wachezaji wanaohitajika.
 
Mpaka sasa Arsenal imekamilisha usajili wa Martin Zubimend na Christian Norgaard. Pia wanahusishwa na Viktor Gykores.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button