Kiruswa aongoza kura za maoni Longido

Katibu wa CCM Wilaya ya Longido Geofrey Kavenga amesema katika Jimbo hilo kulikuwa na wapiga kura 12,782,kura zilizopigwa 11,759,kura zilizoharibika 59,kura halali 11,700

Walioongoza kura katika kura za maoni ni pamoja na

1. Dk Steven Kiruswa kura 9,064 sawa na asilimia 77.5
2. Petro Ngarikoni kura 1,421 sawa na asilimia 12.1
3. Wakili wa kujitegemea Nicolous Senteu kura 1,128 sawa na asilimia 9.6
4. Martha Ntoipo kura 87 sawa na asilimia 0.7

Mwisho

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button