Samia aongoza kikao Kamati Kuu Dodoma

DODOMA: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kinachofanyika mkoani leo Agosti 23, 2025 Dodoma.