Dk Samia azungumza na wananchi Chamwino

DODOMA: Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Chamwino katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa chama hicho mkoani Dodoma leo Agosti 31, 2025.

Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Chamwino mkoani Dodoma leo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button