Mafunzo ya biashara kuongeza ubunifu TSN

DAR ES SALAAM: WAFANYAKAZI wa Idara ya Biashara kutoka Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wamepatiwa mafunzo ya huduma kwa wateja na masoko ya kidijitali yaliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo leo Oktoba 11, 2025 Tazara, Dar es Salaam.

Mafunzo haya yaliyoandaliwa kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja na kuongeza ubunifu katika matumizi ya majukwaa ya kidijitali, yamewezeshwa na Adlex Communication kutoka Arusha.TSN inaendelea kujenga timu imara, yenye ujuzi na ubunifu kuhudumia wadau wake kwa ubora na weledi.

#TSN #CustomerService #DailynewsDigital #AdlexCommunication  #CapacityBuilding

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button