Mbolea ya ruzuku itumike nchi zote EAC kukuza uzalishaji

Chakula na Kilimo Duniani (FAO), mataifa ya Rwanda, Burundi, Somalia na Sudan Kusini katika msimu wa mavuno, yanaweza kuvuna chakula kuanzia tani 2,000 mpaka 900,000 kwa mwaka.
Takwimu hizo zinadhihirisha ambavyo Tanzania ni kinara katika uzalishaji wa kilimo.
Wakati mataifa manne ya Afrika Mashariki yakiwa na uwezo wa kuzalisha chakula kuanzia tani 900,000, Mkoa wa Rukwa umezalisha chakula tani 900,000 mwaka 2024/2025. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe.
Hii inamaanisha kuwa, kitendo cha serikali kuijali sekta ya kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wa taifa, kimeongezeka maradufu.
Tunaipongeza serikali kwa kuiheshimisha sekta ya kilimo, kwani wakati nchi za Afrika Mashariki zikikosa chakula cha kutosha, Tanzania inatoa mbolea kwa wakulima wa mkoa mmoja yenye thamani ya Sh bilioni 770, huku kiasi cha mbolea inayoletwa nchini ni tani milioni 1.2.
Tunatoa wito kwa nchi nyingine wanachama wa EAC kuiga mfano wa Tanzania kwa kutoa mbolea ya ruzuku kwa wakulima wao ili kunyanyua uzalishaji wa mazao ya chakula, kama njia mojawapo ya kumaliza uhaba wa chakula.
Ikiwa nchi za EAC zitawekeza vya kutosha katika kilimo, zitakuwa katika nafasi nzuri ya kuondokana na njaa kama ambavyo imekuwa ikibainika kwa baadhi.
Sambamba na mbolea ya ruzuku na mbegu, nchi za EAC zinapaswa kutenga maeneo kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji ili kuondokana na kilimo cha kubahatisha kinachotegemea mvua.
Mfano, katika eneo la umwagiliaji, Tanzania imetengeneza miradi ya umwagiliaji zaidi ya 700 iliyochukua zaidi ya hekta 600,000 na kufanya mtandao wa umwagiliaji nchini kufikia hekta 940,000.
Tunaamini endapo sekta ya kilimo itapewa kipaumbele stahiki na nchi wanachama wa EAC, kanda itaibuka kuwa bora na kinara wa usalama wa chakula.
I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com
Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
.
More Details For Us→→→→ http://Www.Payathome9.Com